Mkuu wa Mkoa Fabin Massawe akitembelea mabanda
Tuesday, 8 July 2014
KANALI FABIANI MASSAWE AFUNGA MAONYESHO YA SABASABA BUKOBA
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanal Fabian Massawe ameyafunga rasmi maonyesho
ya sabasaba 2014 yaliyoyanyika katika viwanja vya jengo la ccm
Kagera.Maonyesho hayo yalioandaliwa na kampuni ya Kaidep wameshirikisha
makampuni,Taasisi nawafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi Uganda,Rwanda,Burundi,Zaire naSudan.
Mkuu wa Mkoa Fabin Massawe akitembelea mabanda
Mkuu wa Mkoa Fabin Massawe akitembelea mabanda
Subscribe to:
Posts (Atom)