Lori kubwa limepata ajali mbaya maeneo ya mzunguko, Barabara ya kuelekea Kyaka jioni ya leo, ni magari matatu yaliyokuwa yamefuatana yakielekea nchini Uganga yakiwa yamepakia makaa ya mawe kwa mujibu wa maelezo ya awali,chanzo cha ajali inasemekana gari moja wapo lilikatika breki,Habari kamili hazijasibitishwa kuhusiana na chanzo cha ajari,Magari yanaonyesha ni ya nchini zambia
Majawapo ya gari liliokuwa kwenye msafara
Askari wa usalama barabarani wakiwa katika tukio la ajali
Hii ndio hali halisi ya injini
Wananchi wakishuhudia tukio
Ni baadhi ya mifuko inayosemekana ni makaa ya mawe
Mmoja wa madereva wa malori hayo ya Malawi
Inasemekana ni makaa ya mawe yaliyokuwa yanapelekwa Uganda
Ni mojawapo ya namba ya gari iliyopata ajali
Sunday, 2 February 2014
MFANYABIASHARA TAJIRI WA MAREKANI JOE RICKETTS AZINDUA MAFUNZO YA KUTUMIA TABLETS JOSIAH GIRL'S HIGH SCHOOL BUKOBA
Wimbo wa Taifa ukiimbwa kabla ya ufunguzi wa hafla ya kuanza kutumia Tablets kwa ajili ya masomo ya wanafunzi
Bw Joseph Mushemba mmoja wa wageni waalikwa
Mc akiendelea na utaratibu
Mzee Elias Mashasi akiwa na Jamco
Mzee Joel Byolwango akiwa na Jamco
Wageni waalikwa
Waalimu wa Josiah Girl's High School
Mkuu wa shule akitoa neno kwa niaba ya uongozi wa shule na wanafunzi
Wanafunzi wakicheza ngoma
Waandishi wa Habari kutoka Marekani walioambatana na Bw Joe Ricketts
Mfanyabiashara tajiri nchini Marekani Joe Ricktts anaefadhili mradi huu wa Tablets katika shule za msingi 378 na shule za sekondari 33 Nchini Tanzania ikiwemo na JosiahGirl's High School
Bw JOE akimkabidhi mkuu wa shule ya Josiah Girl's High School Tablet kwa ajili ya kufundishia wanafunzi
Mwanafunzi akipokea Tablet itakomwezesha kujifunz masomo yote ambayo yamewekwa kwa kuzingatia mitaala ya wizara ya Elimu Tanzania
Mzee Joel Byolwango akipokee cheti maalum kama shukrani kama muasisi wa Josiah Girl's High School
Uongozi wa JosiahGirl's High School ulitoa zawadi ya picha iliyochorwa kwenye gome la mti yenye sura ya Bw Joe Ricketts kwa kudhamini na kutambua mchango wake katika kufadhili shule yao
Wanafunzi wakiwa na Tablets na vifaa vyake
Wanafunzi wakiwa katika Igizo
Kundi la shule kwa ajili ya burudani
Chezee Josiah Girl's weweee
Muonekano wa Tablets zilivyopangwa katika chumba maalumu
Ongereni sana Josiah Girl's High School kwa kuanza kutumia teknologia ya Tablets katika kujifunza masoma darasani

Subscribe to:
Posts (Atom)