Friday, 10 January 2014
Thursday, 9 January 2014
SHEKHE NURDINI KISHKI AWAHUSIA WAUMINI WA KIISLAMU BUKOBA KUMCHA MWENYEZI MUNGU
Shekhe Nurudini Kishki akiwahutubia waumini wa kiislamu kwenye mhadhara uliofanyika viwanja vya shule ya msingi Jamia
Kaimu Shekhe wa Mkoa Haruna Kichwabuta akimkaribisha Shekhe Nurudini Kishki atoe mawaidha
Umati wa waumini ukiwa umetulia ukisikiliza mawaidha
Waumini toka pande tofauti walikuwepo
Kila mmoja anatamani amguse
Akiondoka katika viwanja vya shule Jamia

Subscribe to:
Posts (Atom)