Monday, 2 December 2013

HAFLA FUPI YA UZINDUZI WA PIKIPIKI KATIKA UWANJA WA UHURU PLATFORM LEO JUMAPILI TAREHE 01.12.2013 BUKOBA.

Mgeni Rasmi Barozi Khamis Kagasheki akiwakilishwa na Mwakilishi wake ambaye ni mjumbe wa NEC Mkoa Kagera Bw. Abdu Kagasheki (kulia) akikata utepe tayari kwa kufungua Hafla hiyo fupi ya uzinduzi wa pikipiki katika uwanja wa Uhuru Platform leo Jumapili asubuhi.
Tayari Utepe umekatwa ..tayari kwa ufunguzi huo.
Mgeni rasmi Bw. Abdu Kagasheki akitoa neno baada ya kukata utepe!!
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Kagera Bw. Winston Kabantega (kushoto) akiwa naBw. Abdu Kagasheki

Mwakilishi wa Kampuni ya Kishen Herita Hamberile akizungumza na umoja wa wanapikipiki mkoa wa Kagera pamoja na wanachi waliojitokeza kwenye uwanja huo wa Uhuru leo jumapili.

Mzigo wenye huu hapa zimetolewa pikipiki 50
Jumla ya pikipiki 50 zimetolwa leo kwa vijana ikiwa ni lengo la ajira kwa vijana mjini Bukoba kutoka kwa kampuni ya Kishen ya jijini Dar es salaam yenye ofisi zake hapa mjini Bukoba.

Mwendesha pikipiki Gregory Mwombeki ambaye ni Katibu wa chama cha waendesha pikipiki CPMB Kagera akisoma Risala mbele ya Mgeni rasmi.
Baadhi ya madreva waendesha pikipiki wakisikiliza Risala

Katibu wa CCM Wilaya, Bi. Janeth Kayanda nae alikuwepo
Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Kagera Bw. Winston Kabantega kulia akiwa na Ramadhani Kambuga (kushoto).
Wacheza ngoma wakiburudisha
Kikundi cha wanangoma kikiongozwa na Babu Rweyemamu kikitumbuiza

Mwl. Joyce Roboz (kulia) nae alikuwepo kwenye hafla hiyo na hapa alionekana kuburudika vilivyo
Babu Rweyemamu akiimba nyimbo inayopendwa zaidi na wakazi wa Bukoba

Ngoma ya Kihaya ikiendelea kukolea kwenye uwanja wa uhuru platform mjini Bukoba leo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa pikipiki.

MAKAMU WA RAIS DKT.BILAL AENDESHA ZOEZI LA HARAMBEE YA KUCHANGIA MADAWATI MFUKO WA MAENDELEO YA ELIMU JIMBO LA NKENGE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi chaeti, Mkurugeniz wa Kagera Sugar, Hamadi Yahaya, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wake wa kuchangia maendeleo ya Elimu ya Jimbo la Nkenge mkoa wa Kagera,wakati wa hafla ya harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za Jimbo hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana na (kushoto kwa Makamu) ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za Jimbo hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumta Mshana na (kushoto kwa Makamu) ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Kanal Fabian Masawe, wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Nkenge kununua madawati ili kusadia shule za msingi za Jimbo hilo. Harambee hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam, jana usiku.
 Meza Kuu wakijumuika kuimba wimbo maalumu wa mkoa wa Kagera wa kuhamasisha maendeleo ya mkoa huo, hususan katika suala la elimu na kuchangia madawati.
Sehemu ya wageni waalikwa kutoka mkoa wa Kagera waliohudhuria harambee hiyo.

BREAKING NEWSSSS:::MALORI YAGONGANA NA KUZIBA NJIA ENEO LA WAMI,MSAADA UNAHITAJIKA

 Malori yaliyogongana yakiwa yameziba njia baada ya kugongana eneo la mto wami
 Foleni ni kubwa sana ya mabasi yaendayo mikoa ya Tanga,Arusha Na Kilimanjarooooo
Ajali mbaya imetokea mda huu eneo la mto wami na kusababisha Foleni kubwa sana kwa magari na mabasi yanayotumia njia hiyo,Dj sek blog imefanikiwa kupata picha kadhaaa za ajali hiyo,Chanzo cha ajali hiyo inadaiwa ni kufeli breki kwa malori hayo yakiwa yanateremka kwenye mlima huo.Polisi wanaendelea na jitihada za za kuyatoa ili njia ipatikane kwa ukubwa zaidi ili kuruhusu upitaji mzuri wa magari.