Alhaji Taufick sharifu
Vip bukoba airport viongozi wa dini wakisubiri kumpokea alhaji taufick sharifu
Alhaji Taufick sharifu akishuka kwenye ndege
mke na mtoto wa alhaji Taufick wakiwa na furaha uwanja wa ndege
karibu mme wangu, ni furaha
shekhe kichwabuta akimpokea alhaji Taufick
umati uliokuwa nje ya uwanja ukimsubiri alhaji
picha ya pamoja
msafara kutoka airport kuelekea nyumbani
alhaji akiswali msikiti wa bilele
alhamdulilah
alhaji chuchu na bw majid kichwabuta
nyumbani
dua
wamama walikuwa kibao
alhaji kagire
wakati wa kupata riziki ulifika
muda wa chakula ukafika
Thursday, 31 October 2013
Wednesday, 30 October 2013
BALOZI KAGASHEKI ATEMBELEA ENEO LA SOKO KUU BUKOBA(SENETI) NA KUONGEA NA WAAJIRI WAKE
Balozi kagasheki waziri wa maliasili na utalii ambae ni mbunge wa jimbo la bukoba mjini akiongea na waajiri wake maeneo ya soko kuu la bukoba maarufu seneti
balozi kagasheki akiongea na mpambanaji katika maswala ujasiliamali mama rubi maeneo ya seneti
balozi kagasheki akiwa amekaa eneo la seneti akipata kahawa na waajiri wake
mmiliki wa jamcobukoba.blogspot.com jamco akisalimiana na wananchi maeneo ya seneti
watu wanaendelea kupata kahawa na mbunge wao maeneo ya seneti
mzee fati akinena na mbunge
mzee amidu aliesimama siku ya leo biashara ni nzuri
alipata wasaa wa kuzungumza na waajiri wake
picha
Mnec wa bukoba mjini Abdul kagasheki akiwa na ramadhani kambuga
meneja mipango ofisi ya mbunge bingwa akiteta na tajiri yake
unajua tena kiongozi akiwa jimboni
kijana bale uso kwa uso na balozi
hiyo ndio seneti asikwambie mtu
bw bahati akisalimiana na balozi kagasheki
mzee hamis kikwemu akiwa na furaha
dada eva nae alishidwa kuzuia furaha yake kwa mbunge
bw Partirick kaimukirwa akisalimiana na balozi kagasheki seneti
bw rahimu kabyemela akiteta na balozi kagasheki maeneo ya seneti
balozi akisalimiana na bw gozi seneti

ALHAJI ATHUMANI KAZINJA AWASILI BUKOBA AKITOKEA HIJA
Alhaji kazinja akiwa na bashasha mara baada ya kuwasili bukoba
alhaji kazinja akiwa msikiti wa ijumaa akiswali kumshukuru mwenyezi mungu kumfikisha bukoba salama
ni furaha
picha ya pamoja
alhamlirah kwa kumaliza hija yangu na kurejea nyumbani salama
jamcobukoba.blogspot.com tunakupongeza alhaji Aathumani kazinja kwa kutimiza nguzo muhimu sana katika uislamu

Subscribe to:
Posts (Atom)