Meneja masoko kanda ya ziwa wa TBL bw silvester akiwa na bw rakison kahabuka akiongea na wageni waalikwa walioudhulia hafla ya professional night ya TBL kwa ajili ya chakula cha jioni na vinywaji vya kampuni ya TBL
wadau wakifurahia kinywaji cha TBL
Bw mwarabu wa kampuni ya sigara akiwa na mke wake
chezee TBL wewee hata wadosi wanakubari vinywaji vyao
wadau wa chuo kikuu sauti
mtokooo...
kweli TBL inakutanisha watu
pozzzz
wadau wakiingia
pozzz za kila aina
ni katika harakati za kuweka mambo sawa
wadau katika pozz
jamco na raksoni kahabuka
wadau wakiwasiri walkgard hotel
wadau wa gesi
warembo wakiingia katika eneo husika la usiku wa professional TBL
ni furaha kila kona
Walter matungwa mkurugenzi walkgard hotel akiwa busy kwenye mitandaokuhabarisha kinachojiri
burudani kila kona usiku wa professional TBL
teacher konche na bi rebeka nao walikuwepo
willy kiroyera na bw thomas
wadau wa NBC bank
mdau katika pozz
rahimu kabyemela akiwa na jamco
wadau katika pozz
timu nzima ya wafanyakazi wa TBL bukoba wakisalimia wadau
dada jeni nae kampuni imemtambua na kumpa zawadi
do ndoo mwenyekiti wa wanywaji bukoba mjini nae akipokea zawadi
Kaka mkubwa ernest nyambo akipokea zawadi kwa kampuni kumtambua siku zote kwake bia ya ndovu ndio suluhisho
bia ili iwe tamu ni namna ya kuimimina na hasa ikiwa ya TBL
lily tigo meno yote nje kuashiria utamu wa kinywaji cha TBL na dada jeni
mwarabu usipime.....
cheersssss kwa afya yako daima vinywaji vya TBL ndio sera yet
bingwa,pajero na jamco nao walikuwepo
mzee mkude na kevin nao wako busy
walter nae anaweza
mambo ya taarabu, dada anaweza na hataki kuwezeshwa
ilikuwa ni burudani shadida usiku wa professional TBL walkggard hotel
ni kila mmoja akionyesha uwezo wake katika kusakata rumba
Monday, 7 October 2013
MA MARTHA MKAJUNA KIBIRA AFARIKI DUNIA,KUZIKWA 9-10-2013 KIBETA BUKOBA
Ma Martha mkajuna kibira amefariki tarehe 5-10-2013 akiwa amelala nyumbani kwake kankwirwa kibeta bukoba.ma martha alikuwa ni mke wa ndoa wa hayati askofu josiah kibira wa kanisa la kirutheli,marehemu alikuwa akisumbuliwa na presha , katika uhai wake alibahatika kupata watoto kumi miongoni mwao watoto watano wameshaaga dunia .marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka 82, mazishi yake yatafanyika siku ya jumatano 9-10-2013 katika kijiji chakankwirwa kibeta saa tisa alasiri baada ya wanae wanaoishi marekani kuwasiri, jamcobukoba.blogspot.com inatoa pole kwa ndugu ,jamaa na marafiki wote.
ma martha katika uhai wa maisha yake alibahatika kupata watoto mapacha maria na martha wakiwa wachanga
wenye kanga za kufanana ni mapacha maria na martha wakiwa msibani nyumbani kwao kibeta bukoba wakiomboleza msiba wa mama yao mpendwa
picha ya hayati askofu josiah kibira
ndugu wakiwa msibani kibeta wakipata chai
mtoto wa marehemu Namara
nyumbani kwa marehemu
wazee wakiwa katika mipango ya msiba
kikao cha ndugu kuandaa mipango ya mazishi
ndugu wa marehemu
tulikupenda ma martha mkajuna kibira,mungu amekupenda zaidi
ma martha katika uhai wa maisha yake alibahatika kupata watoto mapacha maria na martha wakiwa wachanga
wenye kanga za kufanana ni mapacha maria na martha wakiwa msibani nyumbani kwao kibeta bukoba wakiomboleza msiba wa mama yao mpendwa
picha ya hayati askofu josiah kibira
ndugu wakiwa msibani kibeta wakipata chai
mtoto wa marehemu Namara
nyumbani kwa marehemu
wazee wakiwa katika mipango ya msiba
kikao cha ndugu kuandaa mipango ya mazishi
ndugu wa marehemu
tulikupenda ma martha mkajuna kibira,mungu amekupenda zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)