Sunday, 8 September 2013

NAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA MKOANI IRINGA.



 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio za Bendera.
 Wamama kutoka mkoa wa Iringa wakicheza ngoma ya kihehe wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera.


 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Sixtus Mapunda akisalimia wakazi wa Ruaha Buyuni wakati wa uzinduzi wa  wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa.
 Wananchi akifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wa chama waliofika wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa.
 Viongozi wa Chama mkoani iringa wakifuatilia ratiba ya matukio mbali mbali yaliyopangwa wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya Chama Mkoani Iringa.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Bendera ya Chama tayari kwa kuanza kwa mbio za Bendera ya Chama .
 Vijana wakakamavu wa chama wakiwa wamebeba picha ya Mwenyekiti wa Chama ambayo itakimbizwa sanjali na Bendera ya Chama katika mkoa wa Iringa.
 Bendera na Picha ya Mwenyekiti ambazo lengo ni kuwakumbusha wana CCM kukilinda na kukitetea chama ikiwa pamoja na kuwaeleza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa ndugu Emmanuel Mteming'ombe akitoa salaam za utangulizi wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa Ruaha Mbuyuni wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya chama mkoani hapo.

 Katibu wa NEC Itikad na Uenezi akihutubia wakati wa Iringa ambapo aliwaambia mbio hizo zitawasaidia wakazi wa mkoa huo kuelewa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, kukilinda na kujenga chama.
 Katibu wa NEC akikabidhi mpira kwa moja ya timu zilizofanya vizuri.
 Katibu wa NEC akikabidhi vyeti vya kutambua mchango wa mabalozi wa nyumba kumi.
Bendera ya Chama ikiwa juu kama ishara ya kuwa mbio za Bendera zimeshaanza.

JAHAZI YAFUNIKA DAR LIVE


Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki walifurika Dar Live.
Mashabiki wakiwa wamembeba juujuu mlemavu ambaye alipagawa na burudani za Jahazi.
Khadija Yusuf akijinafasi stejini.
Jukwaa likiwa juu wakati Leila Rashid akiwapa raha mashabiki.
Mzee Yusuf (kushoto) akiwa na Dude 'Yahaya' wakiimba kwa pamoja.
Mzee Yusuf akiendelea kuzikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live.
Mcharaza gitaa wa Jahazi, Musa Musa akiwa kazini. Pembeni ni mabango ya wadhamini.
Wanamuziki wa Jahazi wakiimba kwa pamoja.
Leila Rashid akiwapagawisha mashabiki.
Baadhi ya wasanii wa filamu wakiwa jukwaani kusalimia mashabiki.
Baadhi ya mashabiki waliofurika wakiserebuka.
Mzee Yusuf akiserebuka na mpiga gitaa wa bendi hiyo, Mauji.
Hata sehemu ya kutema mate haikuwepo kwa jinsi mashabiki walivyofurika.
BENDI ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo imefunika vilivyo katika onyesho lao la nguvu lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf na kundi lake ilizikonga nyoyo za mashabiki na kuwaacha roho safi.

OPERESHENI MAALUMU(Operesheni kimbunga) YA KUONDOA WAHAMIAJI HARAMU WANAOMILIKI SIRAHA KINYUME CHA SHERIA YAANZA KATIKA MIKOA YA KAGERA,KIGOMA NA GEITA

 Kanal Fabian massawe akieleza mbele ya waandishi wa habari kuanza kwa operesheni ya kuondoa wahamiaji haramu na wanaomiliki siraha kinyume na sheria.
 kanal massawe akiwa na kiongozi wa operesheni hiyo simon sirro ambae pia ni kamanda wa polisi mkoa wa mwanza,kamanda sirro amewataka wananchi wote kutoa ushirikiano katika zoezi zima ambalo amesema halina mwisho mpaka hapo watakaporidhika kuwa kilichokusudiwa kimekamilika
                               opereshani hii inashirikisha jeshi la polisi ,jeshi la wananchi na uhamiaji
                                                     baadhi ya maafisa wa jeshi la police mkoa wa kagera

 waandishi wakiwa katika kazi ya kuandika kile kinachozungumzwa ili kuandika habari za kweli


 waandishi wa kalamu ,picha za mnato na picha za kutembea wakichukua matukio yote
 kanal Fabian massawe ameseme zoezi hili litazingatia haki za binadamu, za kimataifa ili kuondoa hali ya uonevu ,ameeleza wapo wanawake ambao wameolewa na wazawa ambao mwanzoni waliamuriwa waondoke nchini,ameseme ipo sheria  na utaratibu unaofanyika ili waendelee na ndoa zao hapa nchini,na amewataka wote waliokuwa wameondoka warudi na kufuata utaratibu waweze kupewa kibali
                                                                            waandishi wakiwabusy

akieleza haki kutendeka katika operesheni hii tofauti na zile zilizowahi kufanyika huko nyuma,ambazo baadhi ya viongozi walitumia nafasi zao kujitajirisha na kudhurumu mali za watu,kipindi hiki hali hiyo haitajitokeza hata kidogo, maana hii ni agizo la rais hivyo hakuna mchezo

USIKU WA SAIDA KALOLI NDANI YA LINA'S,KILA MMOJA NA STAILI YAKE

 Full shangwe na tabasamu kibao ,wadau mbalimbali wakiangalia show ya saida
 bwana bushira akiwa na mdau mkubwa jovither mushashu anaeishi ujerumani ambae amekuja kwa mapumziko mafupi
 saida kaloli akiwa jukwaani,ambae mapema kabla ya show, wakiwa kwenye matangazo ya barabarani gari lao lilipata ajari na kusababisha baathiya wasanii kuumia na kushindwa kushiriki show ya saida

                                                         kila mmoja kwa staili yake
                                                             hapo vipi,yataka moyo wadau....
                                            mohamed kikwemu akionyesha uwezo wake

                               bw basibira akiwa na chupa yake ya tusker alishindwa kujizuia
 bw basibira anakuwa na wakati mgumu sana wakati wa show, maana ujitahidi sana kufanya kama bosi wake ben mulokozi,rafiki zake wapendwa ben kataruga,james kabakama, Erick barongo, mh Gozbert matambula,ndugu focus  Rutinwa na wengine.
                                                              ni ngoma kwa kwenda mbele
                       bwana basibira akionyesha utaalamu wake katika swala zima la kucheza ngoma
                                        bw kazimato akiwa na mkewe patricia wakiangalia show
 kabla ya show saida alinusurika katika ajali ,na hili gari la kampuni kiroyera tour ndio alikuwa amepanda  lilipata ajali maeneo ya kashura baada ya kufeil brake,msanii papaa kishaju aliumia sana na kulazwa katika hospitali ya mkoa wa kagera na hakuweza kushiriki show
                                                     enndelee kuangalia jamcobukoba.blogspot.com