Tuesday, 20 August 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA, IKULU DAR


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Balozi wa Kenye nchini Tanzania, Mutiso Mutinda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Kenya, Peter Sang.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, aliyeongozana na ujumbe wake wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Kitabu cha Kamusi ya Kiswahili, kutoka kwa balozi wa Kenya nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 20, 2013 kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Kenya, Peter Sang. Kitabu hicho kimetungwa na Balozi huyo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Mutiso Mutinda, na ujumbe wake baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Balozi huyo alifika kwa ajili ya kumuaga Makamu baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APOKEA HATI IDHINI YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA NELSON MANDERA CHA ARUSHA

 Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Nelson Mandera, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye ni Mkuu wa Chuo hicho, wakati wa hafla ya kuvitunuku Hati Idhini Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Agosti 20, 2013
 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandera, akimkabidhi Hati Idhini ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Nelson Mandera, Makamu wake, Prof. Burton Mwamila, wakati wa hafla ya kuvitunuku Hati Idhini Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo. Hafla hiyo ilifanyika kwenye Viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam leo, Agosti 20, 2013. Katikati ni Rais Jakaya Kikwete, akishuhudia
                                            Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo
 Rais Jakaya Kikwete, akihutubia baada ya kutunuku Hati Idhini kwa Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais Jakaya Kikwete, akihutubia baada ya kutunuku Hati Idhini kwa Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
 icha ya pamoja kwa kumbukumbu baada ya shughuli ya kutunuku Hati Idhini kwa Vyuo Vikuu Vishiriki nane vya nchini vilivyotimiza vigezo, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaa

MKUU WA MKOA WA KAGERA KANAL FABIAN MASSAWE AFUNGUA KONGAMANO LA KISWAHILI KITAIFA LEO KATIKA UKUMBI WA ST.FRANCIS BUKOBA,WAMUENZI HAYATI SHAABAN ROBERT

 Mkuu wa mkoa kanal Fabian Massawe akifungua kongamano la kiswahili  kitaifa leo mjini bukoba
 Prof. M. M. Mulokozi  akieleza kuhusu barua na nyaraka za shaaban robert
 Ndugu Ikbal shaaban robert, mtoto wa marehemu shaaban robert akieleza kwa ufupi maisha ya familia ya shaaban robert
 wanafunzi na waalikwa mbalimbali wakiangalia vitabu katika kongamano la kiswahili
                                                   wanafunzi wa partage p/school bukoba
                                                      wanafunzi wa kahororo sekondari
                                                                mwandishi maarufu wa vitabu
                                                               wanfunzi wa bablon high school bukoba
                                             mwenyekiti kamati ya maandalizi mzee A.Msakanjia
                               maafisa utamanduni  manispaa ya bukoba na bukoba vijijini
 mwandishi wa habari kutoka kenya akiimba shairi(Tunakukumbuka shaaban ulale pema peponi)
                                                      mkuu wa mkoa akipokea zawadi ya vitabu
                          Dkt.A.Mutembei kutoka chuo kikuu cha dar es salaam akitoa mada
                        wadau mbalimbali kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya nchi wameudhulia
                                                               kongamano hili limefunguliwa leo 20 mpaka 21-8-2013

Monday, 19 August 2013

UMOJA WA WANAWAKE BANDARI YA BUKOBA (WAFANYABIASHARA YA NDIZI MBIVU KUPELEKA MWANZA) WA WAMSHUKURU BALOZI KAGASHEKI

Mbunge wa jimbo la bukoba mjini na waziri wa maliasili na utalii balozi khamis kagasheki akiongea na wamama wajasiriamali bandari ya bukoba
                                  wamam,a wa umoja wa bandari ya bukoba wakimsikiliza mgeni rasmi
mkuu wa bandari ya bukoba Ernest Nyambo akiwa na mgeni rasmi balozi kagasheki kwenye hafla fupi ya wanaumoja wanawake wa bandarini bukoba
                                      balozi kagasheki akicheza na wamama wa bandari ya bukoba wafanyabiashara wa ndizi mbivu
                                          mambo ya saida karoli usipimee
                                                              katibu wa kikundi akiongea
        mkuu wa bandari akimueleza mgeni rasmi jinsi wa mama wanavyofanya biashara yao
                                                               katibu akisoma risala
                                                            mgeni rasmi akipokea risara
mgeni rasmi balozi kagasheki akipokea zawadi ya mbuzi na kitambaa cha suti kutoka kwa wamama kama ishara ya shukurani zao kwa kutambua jitihada alizofanya ili wasonge mbele
                                                                      huyu wangu...
balozi kagasheki akiongea na wanaumoja, aliwalipia ada ya pango kwa ajili ya ofisi yao kwa mwaka mzima shilingi laki sita na aliwawapa shilingi milioni mbili  kuongeza mtaji kwa ajili ya biashara yao
                                                   wamama wa bandarini wakimsikiliza mgeni rasmi
                                      wamama wakifurahia msaada waliopewa na mgeni rasmi
                                                               picha ya pamoja na mgeni rasmi
                                                                            ni furaha
                                                        balozi kagasheki akiteta na viongozi wa kikundi