Diwani alexesandar ngalina kata buhembe na naibu meya
diwani richard gaspar kata miembeni na mjumbe mkutano mkuu wa taifa ccm
diwani dauda kalumuna kata ijuganyondo
diwani samweli ruangisa kata kitendaguro
diwani deusdert mtakywa kata nyanga
diwani yusuf ngaiza kata kashai na mwenyekiti ccm bukoba mjini
diwani robert katunzi kata hamugembe
diwani murungi kichwabuta viti maalum na mjumbe baraza kuu taifa wanawake
ongereni sana jamani
ni furaha kwa wanachi wa manispaa ya bukoba baada ya nape kutangaza
murungi akitabasamu
ni furaha
mjumbe wa alimashauri kuu taifa Abdul kagasheki akiwa na wananchi mbalimbali wakifurahia kauli ya Nape
ni shangwe wanachi wakishangilia kauli ya nape
ilikuwa ni pilika kila kona
diwani viti maalumu ccm murungi kichwabuta muda mfupi baada ya katibu mwenezi taifa kutengua maamuzi ya kufukuzwa kwa madiwani 8 wa ccm akiwa na diawani felician bigambo wa cuf
diwani wa kata ya bakoba-cuf feliciani bigambo akipongeza utenguzi wa maamuzi ya kuwafukuza madiwani wa ccm,amesema chama cha mapinduzi wananchi wangewashangaa kuona watetea haki za wananchi ndio wanaonekana maadui na kukumbatia mafisadi,amesema kama madiwani wanafanya kazi kwa sheria na kanunu za vikao,hivyo watahakikisha haki za wananchi zinapatikana
mwenezi wa ccm bukoba mjini ramadhani kambuka akieleza kurizishwa na kauli ya nape kupitia vyombo vya habari
diwani wa kata ya bakoba felician bigambo cuf akiwaeleza wananchi kuwa Nape amefanya jambo la msingikutengua maamuzi ya watu wachache wanaokumbatia mafisadi na kuwakatisha madiwani tamaa wanaodai haki ya wananchi wa bukoba mjini, amesema madiwani wanafanya kazi kwa taratibu na sheria na kanuni, hivyo watahakikisha haki inapatikana kwa kushirikiana na madiwani wa ccm wanaojari kero na haki za wananchi waliowachagua nasi kikundi cha watu wachache wanaokumbatia mafisadi
Diwani wa kata ya kashai ambaye pia ni mwenyekiti wa wilaya bukoba mjini akipongezwa na wananchi muda mfupi baada ya maamuzi ya alimashauri kuu ya ya mkoa kutenguliwa
Wednesday, 14 August 2013
Tuesday, 13 August 2013
CCM Kagera yawafukuza madiwani wake 8
Katibu wa CCM mkoa wa Kagera Bw Avelin Mushi amemaliza Press Conf hivi
punde na kufafanua kuwa kikao cha Halmasahuri Kuu ya mkoa wa Kagera
imemaliza kikao chake hivi punde na kuamua madiwani 8 wa Manispaa ya
Bukoba kufukuzwa katika chama na kufutiwa nyadhifa za udiwani kutoka na
mgogoro uliokuwa ukiendelea.
Waliofukuzwa ni:
1. Richard Gaspar (Miembeni )
2. Murungi Kichwabuta (viti maalum)
3. Alexander Ngalinda ambaye pia ni Naibu Meya (Buhembe)
4. Yusuf Ngaiza ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya (Kashai)
5. Deusdedit Mutakyahwa (Nyanga)
6. Robert Katunzi (Hamugembe)
7. Samwel Ruhangisa (Kitendaguro) na
8. Dauda Kalumuna (Ijuganyondo).
Katibu huyo ameongeza kuwa madiwani hao wanaweza kukata rufaa kwa ngazi
za juu za chama wakiona hawakutendea haki na kuwa ngazi ya mkoa ina
mamlaka ya kufanya hivyo kwa madiwani wa ngazi hizo.
Aidha amesema kwa Bw Yusuph ngaiza ambaye ni mwenyekiti wa CCM
bukoba,nafasi yake hiyo inasubiriwa ngazi za juu ambazo ndizo zenye
mamlaka juu yake(kwa cheo hicho)
Manispaa ya Bukoba ina kata 14 na kati ya hizo kata 4 zinaongozwa na CDM(2) na CUF(2) hivyo kwa Bukoba mjini CCM imebakiza madiwani 3 TU wa kuchaguliwa .kama ifuatavyo
1.Kashai-Amefukuzwa
2. Miembeni-Amefukuzwa
3.Miembe-Amefukuzwa
4.Nyanga-Amefukuzwa
5.Hamugembe-Amefukuzwa
6.Kitendaguro-Amefukuzwa
7.Ijuganyondo-Amefukuzwa
8.(1)Kagondo-Amebaki (CCM) (Meya Amani)
9.(2)Nshambya-Amebaki(CCM)
10.(3)Kahororo-Amebaki(CCM)
11.Bilele-Amebaki(CUF)
12.Kibeta-Amebaki(CHADEMA)
13.Bakoba-Amebaki(CUF)
14.Rwamishenye-Amebaki(CHADEMA)
KAGASHEKI CUP 2013: NUSU FAINALI .....LIVE MATCH: BIELE FC 1 vs KITENDAGURO 0, SECOND HALF....
Kikosi Cha Pamoja cha Timu ya Kitendaguro pamoja na viongozi wao (kushoto)
Sunday, 11 August 2013
KAGASHEKI CUP -KASHAI ATINGA NUSU FAINALI AMPA KICHAPO KAGONDO ,KASHAI 3 KAGONDO 1,KUKUTANANA NA RWAMISHENYE
Timu yenye washabiki wengi kuliko kata zote manispaa ya bukoba leo imeibuka kidedea baada ya kumfunga kagondo kwa goli tatu kwa moja katika hatua ya robo fainali katika mashindano ya kagasheki cup yanayoelekea ukingoni, huku vigogo wawili bakoba na miembeni wakiwa wametolewa hatua ya robo fainali,na kuweka historia mpya katika mashindano haya.
mashabiki wa kashai wakishangilia
Edo leo ameonyesha uwezo mkubwa sana
mchezaji hatari sana , ambae amecheza namba saba Edo maarufu kama niyonzima ambae alifunga goli la pili na kutoa pasi za uhakika kwa magori yote mawili
kashai(abanyaruganda )watakutana na Rwamishenye katika mchezo wa nusu fainali ya pili itakayochezwa 14-8-2013 na nusu fainalio ya kwanza itachezwa 13-8-2013 kati ya bilele na kitendaguro(makirikiri)
endelea kufuatilia kagasheki cup hatua ya nusu fainali
mashabiki wa kashai wakishangilia
Edo leo ameonyesha uwezo mkubwa sana
mchezaji hatari sana , ambae amecheza namba saba Edo maarufu kama niyonzima ambae alifunga goli la pili na kutoa pasi za uhakika kwa magori yote mawili
kashai(abanyaruganda )watakutana na Rwamishenye katika mchezo wa nusu fainali ya pili itakayochezwa 14-8-2013 na nusu fainalio ya kwanza itachezwa 13-8-2013 kati ya bilele na kitendaguro(makirikiri)
endelea kufuatilia kagasheki cup hatua ya nusu fainali
Subscribe to:
Posts (Atom)