Ni mwili wa marehemu Tumaini mzibua mitaro ya maji machafu kashai amekutwa kafariki katika mtaro wa kashai maeneo ya kiwanda cha pepsi zamani,chanzo cha kifo chake hakijafahamika
umati wa watu waliokuja kushuhudia tukio la kusikitisha
mwili wa marehemu kabla ya kutolewa kwenye mtaro
mwili wa marehemu ukitolewa mtaroni
mwili ukitolewa kwenye maji
mwili ukipakiwa kupelekwa hospital kwa uchunguzi
eneo yalipomkuta mauti marehemu Tumain mzibua mitaro maarufu kashai,PICHA KWA HISANI YA DJ ANAS
TAARIFA YA HATUA ILIYOFIKIWA NA NCHI WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KATIKA MAJADILIANO YA KUANZISHA UMOJA WA FEDHA
1.0 UTANGULIZI
Ibara ya 5(2) ya Mkataba wa Uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki inabainisha kuwa Umoja wa Fedha ni hatua ya tatu ya Mtangamano wa Afrika Mashariki. Madhumuni ya Umoja wa Fedha ni kujenga ukanda tulivu wa kifedha (monetary and financial stability zone) utakaoharakisha kusaidia ukuaji wa biashara na shughuli za kiuchumi ndani ya Jumuiya. Katika kufikia malengo haya ya Umoja wa Fedha Nchi Wanachama, ikiwemo Jumuiya ya Afrika Mashariki, hukubaliana yafuatayo:-
i. Kuongeza kiwango na kasi ya mtangamano wa masoko ya fedha na mitaji (deepen financial market integration);
ii. Kuhuisha sera za kibajeti za nchi Wanachama (harmonisation of national fiscal policies);
iii. Kuwa na utaratibu wa kuendesha shughuli za uchumi bila kukinzana na malengo ya Umoja wa Fedha;
iv. Kuunda Benki Kuu moja ya Jumuiya (EACB) itakayosimamia Sera moja ya fedha(single monetary policy) na sera moja ya viwango vya ubadilishanaji fedha (exchange rate policy); na
v. Kuanzisha sarafu moja ya Jumuiya;
2.0 HATUA ILIYOFIKIWA
Mchakato wa uundaji Umoja wa Fedha wa Afrika Mashariki ulianzishwa na Kikao cha 15 cha Baraza la















