Monday, 15 July 2013

MKUTANO WA HADHARA WA MKOA WA CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ULIOFANYIKA LEO KWENYE UWANJA WA MAYUNGA (UHURU PLATFORM). MH. MAKAMU M/KITI CHADEMA KANDA YA ZIWA, MH. EZEKIEL WENJE NA MBUNGE WA VITI MAALUM C.L RWAMULAZA ..WAFUNIKA!!!

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) kushoto akifurahia burudani ya ngoma iliyotolewa na kikundi cha ngoma cha bukoba cha RUGOLOILE
Kama kawaida umati wa watu hapa Platform!!
Kikundi cha Ngoma cha Rugoloile kikiendelea kutoa burudani
Ngoma ya Kihaya hapa umefika kwao!!!
Karibu mkuu!!! Karibu Bukoba!

kikundi cha Ngoma cha Rugoloile kikitoa Burudani kuwakaribisha wageni
Burudani ikasogea meza kuu..
Peopleeeez!!!
Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza akiteta jambo na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje

Kiongozi akitoa Hotuba yake hapa
Mh. Makamu M/Mwenyekiti (CHADEMA) Kanda ya Ziwa ambaye leo hii amezungumza akichukua nafasi ya Mheshimiwa Kamanda W. Lwakatare na hapa alikuwa  akitoa hutuba yake kwa wananchi wa Bukoba leo hii kwenye uwanja wa Mayunga (Uhuru Platform).  Mheshimiwa Kamanda W. Lwakatare hakuwepo kutokana na kuugua hivyo afya yake haikumruhusu kuudhulia mkutano huu.





Mr. Valelian kazini leo hii..

.

Peopleeee!!!...
Kwa makini sana akisikiliza Hotuba
Mama ambaye jina lake halikuweza kupatikana haraka akisikiliza Hotuba ya Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza
Mbunge wa Viti Maalum mama C.L. Rwamulaza
Mbunge wa Viti Maalum Mama C.L. Rwamulaza akitoa hotuba leo
People's!!!

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform

Mbunge wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) akitoa Hotuba yake leo kwenye uwanja wa Uhuru Platform kumbuka Mh. Wenje ni tangu mwaka 2011 ndiyo ilikuwa mara yake mwisho kuja hapa.




MTU MMOJA AFARIKI DUNIA AKIWEKA REKODI YA DUNIA KUVUKA MTO KWA KUTUMIA NYWELE ZAKE


Sailendra Nath Roy (50) kazaliwa India amefariki dunia wakati akitaka kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywele zake amabozo anakuwa amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake. Lakini kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo, nywele zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini ikashindikana.
Roy alianza vizuri
Hapa ndio baada ya nywele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua
Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta
Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nywele zake kig'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele

RAIS KIKWETE KATIKA SHUGHULI YA UTOAJI VIFAA VYA KUONGEZA USIKIVU KWA WALEMAVU WA KUSIKIA

Monday, July 15, 2013

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
 Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mmoja wa wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni akiwa na  mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni baada ya kupatiwa vifaa na  mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw. Bill Austin alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni  alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Sholloh Challi, katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa mstaafu,  alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watendaji wa  Starkey Hearing Foundation na  wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya  Buguruni  alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Julai 15, 2013

Sunday, 14 July 2013

KAGASHEKI CUP 2013: KAGONDO 1 vs MIEMBENI 1, SARE YAINDELEA KUICHANGANYA KICHWA TIMU YA MIEMBENI!!!

Wachezaji wa Miembeni wakisalimia waamuzi pamoja na wachezaji wenzao wa timu ya kagondo
Salama!! karibu Kagasheki Cup 2013: Timu zikisalimiana na kufamiana
Kagondo nao wakisalimiana na waamuzi
Kikosi cha Timu ya Miembeni
Benchi la Miembeni na wachezaji wa akiba
Benchi la Kagondo

Waamuzi wakiteta na timu kapteni hapa kuhusu jambo fulani na kuona wapi wanaelekea.
Soma Zaidi Hapa »