ni maeneo ya makaburi ya kyabitembe, ni wadau waliofika kumzika marehemu charles mwakyoma
rajabu paulini,mshindo,abuu omary,na mushamu ni miongoni mwa wachezaji waliobahatika kucheza na marehemu
wadau wakimzika marehemu charles mwakyoma
kaka wa marehemu akiweka udongo
ni wakati wa kuzika,ama kwa hakika jitafakari wewe ulie hai ,umejiandaa katika hili
mtoto wa marehemu akiwa ajitambui wakati wa mazishi
mwinyi akitoa salamu za rambirambi akiwakilisha wana veteran bukoba
apa ni kutafakari,zamu yangu inakuaje
kaka wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu,marehemu alikuwa mcheshi,mpenda watu,lakini kikubwa amepata bahati ya kuchezea timu kubwa za mpira wa miguu hapa Tanzania,wakati akichezea RTC KAGERA,alikuwa akicheza namba saba.
mwenyekiti wa wanaveteran bukoba ndugu ernest nyambo akitoa neno,kwa kiasi kikubwa wanaveteran wameshiriki katika msiba huu
mwenyekiti akiwa kashika bahasha yenye ubani kabla ya kukabidhi kwa wafiwa, akiwa na mchezaji wa zamani wa simba abuu omary
hapa ndipo alipostiriwa marehemu charles mwakyoma eneo la kyabtembe kata nshambya manispaa ya bukoba
picha ya pamoja kwenye kaburi la marehemu
samora lyakurwa.abuu omary na hussein kaitaba baada ya mazishi
supa mkude,mwinyi na wadau wengine maeneo ya makaburi alipozikwa marehemu charles mwakyoma
apumzike kwa amani marehemu charles mwakyoma
Wednesday, 29 May 2013
Monday, 27 May 2013
WAREMBO WA REDD'S MISS MULEBA WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NA KUJIFUNZA MENGI,31-5-2013 MCHUANO MKALI
warembo wakiwa warkgard hotel
ama kwa hakika redd's miss muleba kazi ipo
illuminata katika pozz
warembo wakiwa maeneo ya walkgard hotel kashura
mama kareen muandaji redd's miss muleba
warembo pozz la nguvu walkgard hotel
full shangwe msitu wa kyamunene
warembo wakiwa kwenye pango katika msitu wa kyamunene
ama kwa hakika ziara ya warembo ilikuwa bomba ,hiyo ni kyamunene falls
ni furaha,tour ya warembo ilinoga
kyamunene falls
kijana libeneke la bukobasport fau akiwa na mama kareen
warembo wakiwa kiroyera beach
warembo walitembelea jamco barber shop kujionea huduma zinazopatikana hapo
ndani ya jamco barber shop
tour ilipendeza sana na warembo walijifunza mengi
kwa habari za uhakika angalia jamcobk.blogspot.com
Subscribe to:
Posts (Atom)