Wanasemina.
Bw Erick Bazompora ambae ni afisa uchaguzi akisisitiza jambo.
Mashine zitakazotumika katika uandikishaji(BVR) ni kifaa cha kisasa ambacho huandikisha kwa kompyuta na kuchua alama za vidole,saini na upigaji picha kwa ubora wa hali ya juu ili kuondoa uwezekano wa wapiga kura kujiandikisha zaidi ya mara moja( na gharama ya mashine moja ni zaidi ya milioni kumi ya kitanzania).
Bw George Herman Afisa (IT) akigawa vifaa kwa wanasemina.
Kushoto ni Bi Julieth John Afisa mwandikishaji Jimbo, akiwa na Bi Sarafina Rwegasira mwanasheria wa Manispaa.
Bw Abdon Kahusa Afisa mwandikishaji msaidizi wa Jimbo.
Afisa utumishi wa Manispaa akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mafunzo.
Wanasemina wakijitambulisha.
Wataalamu kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi.
Wanasemina wakira kiapo.
Mwanasheria wa Manispaa akiwaapisha wanasemina.
No comments:
Post a Comment