
Miss Redd's Kagera 2014 Jackline Kimambo kwenye pozi ya picha baada ya Kutangazwa Mshindi usiku wa kuamkia leo

Mshindi wa Taji la Redd's Miss Kagera Jackline Kimambo(katikati) kwenye picha ya pamoja na mshindi wa pili na watatu ambapo mshindi wa pili ni Nyangi Warioba na watatu ni Faudhia Haruna(kushoto).

Babylove Kalala (kulia) akimvisha taji Miss Redd's Kagera 2014 Jacline Kimambo(katikati) shindano lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Lina's Night Club Bukoba Mjini.

Mshindi wa Miss Redd's mwaka 2012 Babylove Kalala ndie aliyemvalisha Taji Miss Redd's Kagera 2014

Picha za Pamoja zilipigwa za washindi

Jackline Kimambo(katikati) Mshindi wa Redd's Miss Kagera 2014, kulia ni mshindi wa pili Nyangi Warioba na (kushoto) ni Faudhia Haruna kwenye picha ya pamoja.

Warembo walipokuwa wakitoa burudani ya ufunguzi.

Jumla ya warembo nane walichuana

Warembo wakitoa Burudani yao ya Onesho la Ufunguzi Jukwaani.

Mgeni Rasmi (kushoto) Bw. Amimu Kangezi-Mwenezi wa Chama cha mapinduzi Mkoa Kagera na (kulia) ni Kiongozi wa Utamaduni hapa Kagera

Warembo wakitoa Burudani ya Ufunguzi

Sharobaro Wakihaya kutoka kundi la Futuhi la (Star Tv) akipagawisha Wahaya wenzake katika Usiku wa Redd's Miss Kagera 2014

Ilikuwa Balaa sana!! Tajiri wa Kigoma nae alikuwepo!

Kwa kuchekeshaa tuu!! Huu ndio mtambo wa kuchomoa mbavu na kuanika 32 nje!!

Vazi la Ufukweni

Mshiriki Miss Redd's Kagera 2014 Tete Augustine

Warembo wakionesha Vazi

Ubunifu

Furaha kwa Mashabiki wao! Tabasamu

Chief Judge alimtangaza Miss Redd's Talent 2014 Jackline Kimambo na kuvishwa taji!

Miss Redd's Talent 2014, Jackline akiwa kwenye hali ya kushangaa baada ya kutajwa!

Baadhi ya Wapenzi wa Miss Redd's wakifuatilia kwa karibu Mchuano huu wa kmpata Mwakilishi wa Mkoa wa Kagera 2014

Majaji wakiumiza kichwa kutafuta tano bora, kutoka kushoto ni Jaji Abera Kamala, Mr. Jay Buberwa na kulia ni Jaji Lilian Peter

Warembo wa Miss Redd's Kagera 2014 waliobahatika kuingia Tano Bora-"Top 5"

Baadhi ya Dadaz wakifuatilia nao kwa karibu wadogo zao wanavyo chuana jukwaani

Wakina Dada wa Kundi la Dreams Girls kutoka Nchini Uganda walikuwepo kutoa Burudani nao

Kundi hili linataba sana na nyimbo mablimbali zikiwemo za Wine, Weekiend, Dance overnight, Wandekangawo na nyingine kibao.

Hatari lakini salama!

Kibao cha jigy jigy kikishambuliwa na wenyewe jukwaani!!

Wadau wa Miss redd's wakichukua na Kumbukumbu na wengine furaha zipo 120, Vunjika mbavu!! Kutoka kwa Mwanahutuhi!

Walioshindwa kujizuia waliwafuata jukwaani!! Dreams Girls na Mashabiki wao wakifanya yao stejini

Hakika Dreamz Girls walishusha Burudani ya nguvu

Unaweza ukajizuia kuona hata kucheka!!

Macho yoote ylikuwa mbele!

Junior Mwemezi akichukua kumbukumbu za Video kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club, Usiku wa Redd's Miss Kagera 2014.

Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi (kushoto) Bw. Amimu Kangezi-Mwenezi wa Chama cha mapinduzi Mkoa Kagera.
No comments:
Post a Comment