Karim Benzema
Kipa
wa Honduras N. Valladares alijifunga bao baada ya Karim Benzema
kuachia shuti lililogonga posti na kurudi upande wa kipa na kipa
kuumalizia mpira huo ndani ya lango lake katika kipindi cha pili dakika
ya 48. Dakika ya 72 Karim Benzema amewaongezea tena bao Ufaransa na goli kuwa 3-0 dhidi ya Honduras.
Kipa wa Ufaransa akijifunga bao hapa..
Unachezea mimi...utajiju!!! 2-0 kwenye neti...
Raha ya ushindi ndio hii...Wachezaji wa Ufaransa wakipongezana 
France wanapata bao kwa mkwaju wa penati
na mchezaji wa Honduras W. Palacios anatolewa nje kwa kadi nyekundu
baada ya kumsukuma mchezaji wa Ufaransa Pogba kwenye eneo hatari
la kipa. 
Karim Benzema anaifungia bao hilo kwa
mkwaju wa penati katika dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza katika
dakika ya 45. Ufaransa wanaenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi
ya Honduras.
Patashika za hapa na pale zilitokea baada ya mchezaji wa Honduras kumfanyia rafu mbaya Pogba
Karim akichonga penati...na kuitangulia mapema Ufaransa bao 1-0......
Karim Benzema akishangilia bao alilolifunga kwa mkwaju wa penati
Pogba chini
Mchezaji wa Honduras Wilson Palacios huku mwamuzi akiwa na yeye!
Mchezaji wa Ufaransa Evra chini...chali!!
Kikosi cha France
Kikosi cha Honduras
VIKOSI:
France: Lloris, Debuchy, Varane, Sakho, Evra, Pogba, Cabaye, Matuidi, Valbuena, Benzema, Griezmann.
France: Lloris, Debuchy, Varane, Sakho, Evra, Pogba, Cabaye, Matuidi, Valbuena, Benzema, Griezmann.
Subs: Ruffier, Cabella, Giroud, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Remy, Koscielny, Schneiderlin, Landreau.
Honduras: Valladares, Beckeles, Bernardez, Figueroa, Izaguirre, Najar, Wilson Palacios, Garrido, Espinoza, Bengtson, Costly.
Honduras: Valladares, Beckeles, Bernardez, Figueroa, Izaguirre, Najar, Wilson Palacios, Garrido, Espinoza, Bengtson, Costly.
Subs: Lopez,
Osman Chavez, Montes, Juan Garcia, Jerry Palacios, Mario Martinez,
Delgado, Oscar Garcia, Rony Martinez, Claros, Marvin Chavez, Escober.
Referee: Sandro Meira Ricci (Brazil)
Referee: Sandro Meira Ricci (Brazil)
No comments:
Post a Comment