Mwenyekiti wa Bukoba Veteran Ernest Nyambo akisoma majina na kiwango cha pesa zilizochangwa na wanachama kwa ajili ya rambirambi
Wana Bukoba Veteran wakiwa nyumbani kwa mwanachama mwenzao Mhandisi Vedasto aliefiwa na baba yake mzazi
Mhandisi Vedasto akiwa na mkewe wakipokea rambirambi kutoka kwa Super Mkude kwa niaba ya Bukoba Veteran
Mhandisi Vedasto akitoa neno la shukrani kwa wana Bukoba Veterani kwa namna walivoshiriki mazishi ya baba yake mpaka kuja kuleta rambirambi
Baada ya hapo sasa mambo yalikuwa hivi.....
Kamua mbaya,kumbuka watu walitokea mazoezi kuja kuhani, pata bia,chakula, majibu unayo mwenyewe...
mhandisi alisimama akasema jamani nimekamilika , swala la kinywaji ni uwezo wa mtu karibuni
Ilikuwa hatariiiiiii
Mwenyekiti na soda, mambo ya kwarezima,ila wengi wao walifunguaaaaa
Kila rakheri katika safari ya kuelekea Mwanza kwenye bonanza la Pasaka
No comments:
Post a Comment