
Mganga maarufu nchini humo Ibrahim Mat Zin anayejulikana kama ‘Raja Bomoh Sedunia Nujum VIP’ alifanya tambiko kwenye uwanja wa ndege Kuala
Lumpur Jumatatu hii kusaidia kuitafuta ndege hiyo ya MH370. Anadaiwa kuitwa na viongozi wa juu wa serikali.
“Nadhani ndege bado ipo angani ama ilianguka baharini,” alisema Ibrahim Mat Zin.
Hahaha Ni shidaaaa....hapana chezea imani aisee,wat the heeeeelll,serious Malaysia??lol afu wanakalia kutusema waafrika bwahahaaa long live manyau nyau
ReplyDelete