Wednesday, 7 August 2013
HIVI NDIVYO MFANYABIASHARA WA MADINI ALIVYOPIGWA RISASI ARUSHA. I
Mwili wa
Erasto Msuya na mmiliki wa SG HOTEL mkoani Arusha mara baada ya kupig
wa risasi zaidi ya sita na watu wasioj
ulikana na kufa papo hapo.
Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya biashara huyu.
Mwili kulia mara baada ya kupigwa risasi na kulia ni gari la kifahari aina ya langer lover eneo linalodaiwa kupigwa risasi mfanyabiashara huyu.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment