RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA BARABARA ITOKAYO KAGOMA - LUSAHUNGA, MJINI BIHARAMULO LEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI.
Burudani
ya Ngoma ikiendelea wakati wananchi wa Mjini Biharamulo wakimsubiri
Mh.Rais Jakaya Mrisho Kikwete awasili kutokea Muleba leo hii Ijumaa
tarehe 26.07.2013 Pichani ni Kiongozi Mh.John Pombe Joseph Magufuli na
yeye akisakata ngoma iliyokuwa inatolewa hapo.Mh. John Pombe Joseph Magufuli na wewe unaweza kupinga ngoma??
Dr. John Pombe Joseph Magufuli ameweza kupiga ngoma na Wananchi wakaweza kuyarudi mangoma
Muda mchache akaingia Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiotesha Mti
Viongozi wakipanda mti
Rais Jakaya Kikwete akitaka kukata utepe
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe
Picha ya Pamoja na viongozi
John Pombe Joseph Magufuli kushoto, Rais Jakaya Kikwete na kulia ni Mama Anna Tibaijuka
No comments:
Post a Comment