ni makaburi ya wanajeshi waliouwawa kwenye vita ya kagera 619
makaburi ya askari waliokuwa waislamu
mizinga
rais akiangalia makaburi
zana mbalimbali zilizotumika wakati wa vita
Rais
Kikwete aliongoza watanzania Nchini kuhudhuria maadhimisho ya mashujaa
waliopigania vita vya ukombozi dhidi ya majeshi ya uvamizi ya Nduli Idd
Amini mwaka 1978/79, maadhimisho yaliadhimishwa katika kambi ya jeshi
JWTZ Kaboya wilayani Muleba.

Viongozi mbalimbali
No comments:
Post a Comment