mh mbunge wa jimbo la bukoba mjini ametoa swadaka ya miswala katika misikiti yote katika jimbo lake mh kagasheki katoa miswala hiyo kwa kutambua mahitaji makubwa ya miswala katika misikiti hiyo ili iweze kusaidia waumini wakati wa ibada,mapema mwezi wa saba waumini wa kiislamu duniani wataanza mfungo wa ramadhani,kwa hiyo ni imani ya mbunge kuwa kipindi hicho waumini wengi ufanya ibada zao ,hivyo miswala hii itasaidia.
baadhi ya miswala ikiwa kwenye gari ikisambazwa maeneo tofauti
msikiti wa kibuye kwa haji hamza
eneo la kiwanda cha kahawa cha amir hamza maeneo ya kibuye
ni kupakua kwenye gari na kuweka msikitini
mmoja wapo ya miswala
ni furaha tupu
ni zoezi la kutandika miswala kila msikiti jimbo la bukoba mjini
akina mama wakifurahia
alhaji katema akishukuru uongozi kutoka ofisi ya mbunge kwa kuleta miswala msikiti wa kashenye kashai
msikiti ukiwa tayari umeshatandikwa miswala
amina....,amina.... amina.....
waumini wa msikiti wa nyaishenye sekondari wa kiomba dua ya kushukuru na kumuombea mh kagasheki kwa kuwaletea miswala
miswala ikitandikwa katika moja wapo ya msikiti iliyopata miswala
miswala akishushwa msikiti wa jafaries
No comments:
Post a Comment