Sunday, 9 October 2016

NMB BUKOBA WATEMBELEA WODI YA WATOTO, WAZAZI NA WAFUNGWA NA KUTOA MSAADA,WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA.

 Katika muendelezo ya wiki ya huduma kwa mteja benki ya NMB Bukoba wametembelea  wagonjwa katika hospital ya mkoa wa Kagera na kutembelea wodi ya watoto, wazazi na wodi ya wafungwa na kutoa msaada  wa vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi yao wakiwa katika matibabu, vitu vilivyotoliwa kwa wagonjwa ni sukari, juisi, sabuni, na vitu vingine.
 Meneja wa tawi la NMB Bukoba akiwa katika wodi ya wazazi.

Friday, 7 October 2016

MISA YA KUMUAGA MAREHEMU GOSBERT IJUMBA NYAMKAZI,VILIO VYATAWALA KANYIGO NYANGOMA.

 Wakazi wa manispaa ya Bukoba wameshiriki ibada takatifu ya kumuaga  marehemu Gosbert Ijumba iliyofanyika nyumbani kwa marehemu Nyamkazi Bukoba mjini,Baada ya  ibada mwili wa marehemu ulisafirishwa kupelekwa kijijini kwao Kanyingo Nyangoma na mazishi yatafanyika 8-10-2016 Jumamosi majira ya saa tisa alasili.
 Bw Salumu mawingu akiwa na majonzi alioshuhudia jeneza la marehemu.
 Mjane wa marehemu.
 Ibadav ikiendelea.
 Mjane.
 Mwili ukielekea Kanyigo.
 Mwili ulipowasili Kanyigo Nyangoma, vilio vilitawala.

 Omulangila Rugaibura hakika ameguswa sana
 Mzee Mugula akiwa na Bw Dona Rugaibula.
 Wakazi wa Kanyigo Nyangoma.
Mazishi yanafanyika 8-10-2016 saa tisa alasili.