Watoto wa marehemu wakiwa na majonzi wakati wa ibada ya misa ya mazishi,Marehemu Francis amefariki akiwa na umri wa miaka 96, katika uhai wake alibahatika kuzaa watoto tisa, wanne wa kiume na watano wa kike, mpaka mauti yanamkuta watoto wote wa kiume walishafariki na wamebaki watano wa kike.
Dk Edward mmoja wa wajukuu wa marehemu.
Watoto wa marehemu wakilia kwa machungu.
Akiweka udongo.
Umati mkubwa uliokuja kumzika mzee Francis.
Mzee Abubakari Kagasheki na mkewe.
Padre akitoa maubiri.
Dk Bugimbi akitoa heshima za mwisho.
Wasifu wa marehemu ukisomwa.
Mjukuu akisoma wosia ,wakidai chao.
Tuesday, 20 January 2015
Sunday, 18 January 2015
MUENDELEZO WA MATUKIO YA KUMUAGA BW ARBOGAST MUSHOBOZI WA NMB BUKOBA ALIESTAAFU UTUMISHI WA UMMA.
Ni wakati wa kukata keki.
Muonekano wa keki.
Bw Victor wa CRDB nae alikuwepo.
Bi Penina katika pozz.
Super Mkude sambamba na \wife.
Mstaafu akakumbushia enzi zake na mkewe wakakata keki.
Ikawa nilishe nikulishe tuonyeshe tunavyopendana.
Nae anaechukua kijiti ,meneja mpya Bw Kimario nae akamlisha keki mkewe.
Meneja wa Kanda NMB yeye akajirisha mwenyewe,ilikuwa bonge la staili.
Wafanyakazi wa NMB Geita wakaendakupokea keki yao.
Meneja wa Kanda akapewa keki.
Picha ya pamoja na mstaafu wafanyakazi wa matawi yote ya NMB kAGERA.
Kundi hili la kutoa Burudani ni moja ya kundi lililoburudisha sana.
Mambo hayo,urembo nao wahitaji ubunifu na muda wa kutosha.
Mtaalam wa kufungua shampein kutoka Bomby.
Paul Manyama kutoka benki ya posta Bukoba(kushoto)
Katikati ni Divo Rugaibula akiwa na mke wake Anitha Divo.
Mwenyekiti wa NMB CLUB Bw Faustine Ruta akikabidhi zawadi na kutoa neno kwa niaba ya wana NMB CLUB BUKOBA.
Mmoja wa marafuki wa karibu sana akimpa mstaafu zawadi ya suti.
Zawadi ya kamati ya maandalizi.
ZAWADI YA KAMATI.
Mke wa Mstaafu akatunzwa na wadada ,wamama (wafanyakazi wa NMB) Bukoba,ilikuwa poa sana.
Meneja wa kanda ya ziwa NMB akatoa neno na akamuelezea mstaafu alivyokuwa muadilifu na mchapakazi mpaka anastaafu salama.
Full shangwe.
Bw Saimon kutoka Geita akawasihi vijana wanaoanza kazi wasiwe na tamaa za kupata utajiri wa haraka, waheshimu maadili ya kazi na nidhamu katika kazi watastaafu salama kama Bw Mushobozi.
Divo a.k.a Serikali akiwa na mke wake.
Bw Arbogast Mushobozi (Mstaafu) akapata wasaa wa kutoa neno la kuaga na shukrani kwa wageni.
Chakula time.
Bi zamda kwa raha zake.
Bw Ndyamukama akiwa na mkewe.
Ni Mapozz tu.
Dk Baruti na mkewe.
Bw Peter akipata msosi.Hongera njema na Bw Mushobozi kwea kustaafu salama utumishi wa umma.jamcoblog tunakutakia maisha mema na afya na familia yako.

Subscribe to:
Posts (Atom)