Rais kikwete mara baada ya kuwasiri scaut ulimvisha scaf na kupewa heshima ya kiscaut
Mapema aliwasiri rais wa zanzibar dk mohamed sheine
waziri Anna tibaijuka akiteta na waziri Kagasheki
Jaji mkuu wa Tanzania Othuman chande akitena na balozi kagasheki
mkuu wa mkoa wa kagera kanal Fabian massawekatibu tawala wa mkoa na kamanda wa polisi mkoa wa kagera
waziri magembe akiwa na mkurugenzi wa manispaa wa bukoba
majembe ya jk
rais akiangalia vikundi vya burudani
Rais kikwete akiongea na wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi
Rais kikwete akikata utepe
Raisi akiweka jiwe la msingi
picha ya pamoja
waziri wa sheria akiwa na jaji mkuu
Wednesday, 24 July 2013
Tuesday, 23 July 2013
RAIS KIKWETE AKITANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Tuesday, July 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Beatrice Singano, mmoja wa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na maofisa waandamizi wa Wizara ya pamoja na wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi alipokutana nao kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam
DK ARISON MWAKYEMBE WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA KUONA MAANDALIZI YA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI LITAKALOWEKWA NA RAIS KIKWETE KESHO
ni jengo la mapokezi na abiri linaloendelea kujengwa katika uwanja wa ndege wa bukoba sehemu ya pili ya uwanja
waziri akiwa na viongozi mbalimbali
Na hapa ndio litawekwa jiwe la msingi na raisi kikwete wanaendelea na maandalizi
, jengo hili ndio linatumika kwa sasa kwa ajili ya kupokea wageni na kuondoka
siku nzima ya leo ndege zimekuwa zikitua na kuondoka kuleta viongozi mbalimbali wanaokuja kwenye ziara ya rais ya kikazi
Eneo la katoma,kokoto zote zinazotumika kujenga uwanja wa ndege zinatoka hapa
waziri Arison mwakyembe alitembelea eneo la kuzalisha kokoto zinazotumika kujenga uwanja
ni mitambo mbalimbali inayotumika kuvunja miamba na mpaka kufikia hatua ya kokoto
mitambo
mkandarasi wa uwanja wa ndege akitoa maelezo kwa waziri
waziri akitaka kuelewa zaidi
waziri mwakyembe akiongea na mwenyekiti wa bodi ya mamlaka ya viwanja vya ndege bw Lambart ndewaita
mitambo
waziri akiwa anaangalia maeneo ya omukajunguti ,eneo litakolojengwa uwanja mkubwea kwa badae
waziri akipewa maelezo kuhusu uwanja utakaojengwa omukajunguti
omukajunguti
waandishi wa habari
Endelea kufuatilia ziara ya kikazi ya rais jakaya kikwete inayoanza kesho mkoani kagera hapa jamcobukoba.blogspot.com
Subscribe to:
Posts (Atom)


