Tuesday, 22 September 2015

MAGUFULI AUSTUA ULIMWENGU BAADA YA KUPIGA PUSH UP KWENYE MKUTANO WA KAMPENI KARAGWE


 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgombea ubunge jimbo la Nkenge kupitia CCM Balozi Dk. Deodorus Kamara mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa mkutano maarufu kama uwanja wa Chakaza ,Bunazi wilaya ya Misenye.
 Baadhi ya wagombea wa udiwani wakiwa tayari kujinadi kwenye mkutano wa kampenii za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa maarufu kama Chakaza,Bunazi wilaya ya Misenye.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Alhaji Abdallah Bulembo akimtambulisha mgombea wa ubunge jimbo la Nkenge Balozi Dk. Deodorus Kamara kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Mashujaa maarufu kama Chakaza.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Bunazi wilaya ya Misenye ambapo aliwaahidi kuondoa kodi zote zisizokuwa na maana kwa mkulima wa kahawa.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihtubia wakazi wa Misenye na kuwaahidi kuwa ataondoa vikwazo kwa wafanya biashara ili waweze kufanya biashara vizuri.
 Wakazi wa Bunazi wakiwa wengi kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo pia ulihutubiwa na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Sheikh wa Wilaya ya Misenye Alhaj Abdul Chagulani akimuombea dua njema Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipokea dua ya sheikh mkuu wa wilaya ya Misenye Alhaj Abdul Chagulani.
 Wakazi wa Karagwe wakimsubiri Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kuwahutubia kwenye viwanja vya Changarawe Kayanga wilayani Karagwe.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na mgombea ubunge wa jimbo la Karagwe.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Karagwe ambapo aliwaahidi kutekeleza anayo ahidi ikiwemo ukamilishwaji wa ujenzi wa barabra kwa kiwango cha Lami.

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipiga push up mbele ya maelfu ya wakazi wa Karagwe kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Changarawe,Kayanga.


 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu Alhaji Abdallah Bulembo akihutubia wakazi wa Kyerwa kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Rumanyika kata ya Nkwenda wilaya ya Kyerwa.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kyerwa kwenye mkutano wa kuomba kura kwa wananchi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Kyerwa Ndugu Innocent Balikwate kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika viwanja vya Rumanyika.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Wakazi wa Benako wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli wakati akielekea kwenye mkutano wa kampeni Ngara.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Alhaj Abdallah Majura Bulembo akihutubia wakazi wa Ngara kwenye uwanja wa posta ya zamani.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ngara mjini
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubiawakazi wa Ngara ambapo aliwaahidi wakazi hao kuwa atashughulikia kupunguza kodi zinazo mkandamiza mkulima.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimndadi mgombea wa ubunge jimbo la Ngara Ndugu Alex Raphael Gashaza .



 Mbunge Mteule anayewakilizsha Wazazi Oliva Semguruka akihutubia kwenye mkutano wa Kampeni za CCM kulia ni Halima Bulembo Mbunge mteule kupitia vijana
 Mbunge Mteule anayewakilizsha Wazazi Oliva Semguruka akihutubia wakazi wa Ngara ambapo aliwaambia wakina mama kushikana na kuwa kitu kimoja katika kuleta maendeleo na kuitunza amani iliyopo.
 Mbunge mteule atakayewakilisha vijana Ndugu Halima Bulembo akihutubia wakazi wa Ngara kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea ubunge wa jimbo la Ngara Ndugu Alex Raphael Gashazaakihutubia wakazi wa Ngara mjini wakati wa mkutano za CCM za kumnadi Dk.John Pombe Magufuli

Monday, 21 September 2015

MAGUFULI NI SHIDAA,KWA MARA YA KWANZA UWANJA WA GYMKANA BUKOBA MJINI WAFURIKA,AHAIDI KUSHUGULIKIA KERO ZA WANANCHI

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba tayari kuhutubia wakazi wa Manispaa ya Bukoba.
 Umati wa wakazi wa manispaa ya Bukoba wakiwa wamefurika katika viwanja vya Gymkhana kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa manispaa ya mji wa Bukoba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha bei ya Kahawa inapanda, ujenzi wa viwanda mbali mbali katika kukuza uchumi na ajira.
 Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia wakazi wa Bukoba mjini.
 Wakazi wa Bukoba mjini wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Huo ndio umati ukimsikiliza Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba mjini Ndugu Hamis Kagasheki akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambazo mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
 Msanii Bushoke akitumbuiza wakazi wa manispaa ya Bukoba kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambao mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alihutubia.
 Yamoto Band wakishambulia Jukwaa kwenye mkutano wa kampeni za CCM Bukoba.
 Fid Q akishambulia jukwaa na nyimbo za hiphop wakati wa mkutano wa kampeni za CCM Bukoba mjini.
 Diomond Platnumz akishambulia jukwaa kwenye kampeni za CCM Bukoba mjini.
 Halima Bulembo Mbunge mteule kupitia vijana akihutubia wakazi wa Bukoba kwenye mkutano wa kampeni kulia kwake ni mbunge mteule anayewakilisha wazazi kutoka mkoa wa Bukoba Oliva Semguruka.
 Mr.Blue akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Bukoba.
Wanaume TMK wakishambulia jukwaa kwenye kampeni za CCM Bukoba mjini.

Sunday, 20 September 2015

CHATO YASEMA WAO NI MAGUFULI TU MWANZO MWISHO,KUUNGURUMA BUKOBA 21-9-2015 KATIKA VIWANJA VYA GYMKANA

Mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi Dk Pombe John Mgufuli  ameudhiriishiwa umma wa wa Tanzania kuwa Chato pale ni nyumbani, baada ya maelfu ya wananchi kujitokeza kwa wingi katika mkutano wake wa kuomba kura,Mgombea anaendelea na safari yake ya uhakika ya kuomba kura katika Mkoa wa Kagera namajira ya saa tisa alasiri 21-9-2015 Jumatatu katika viwanja vya Gymkana Bukoba Mjini.
 Msafara wa mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli ukielekea kwenye uwanja wa michezo Chato maarufu kama Mazaina.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa michezo wa Mazaina Chato tayari kuhutubia wakazi wa Chato.
 Umati wa wakazi wa Chato wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya mkutano kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Musukuma na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi na mjumbe wa kamati kuu ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo.


 Hii ndio meza kuu.
 Shilole akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za CCM Chato
 Chege na Temba wakitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni za Chato CCM.
 Mr.Blue akiwapagaisha wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni.


 Original Komedi wakitumbuiza wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Joti akipeana mkono na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kumaliza kutumbuiza.
 Yamoto Band wakitumbuiza kwenye uwanja wa michezo Chato kabla ya kuanza mkutano wa kapeni za CCM.



 Khadija Kopa akitumbuiza wakazi wa Chato
 Ali Star wa TOT akitumbuiza kwenye jukwaa la CCM Chato wakati wa mkutano wa kampeni za CCM
 Fid Q akishusha mistari kwenye jukwaa la kampeni za CCM Chato.
Bushoke akitumbuiza wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Wakazi wa Chato wakimsikiliza Muwakilishi wa walemavu kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akijinadi na kuwaambia Tanzania mpya itakuwa ya Viwanda.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Chato ambapo maelfu ya watu walijitokeza kwa wingi kwenye mkutano.
 Umati wa wakazi wa Chato wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli