JAMCO BLOG BUKOBA

Tuesday, 10 October 2017

UFUNGUZI WA KIJIJI CHA KUKUZA VIPAJI CHA COSAD TANZANIA.

Mkuu wa wilaya Bukoba Mh Deodatus Kinawiro,ameushukuru uongozi wa Cosad Tanzania kwa kutambua na kuona umuhimu wa kukuza vipaji kwa kutengeneza studio ya kisasa ,ili kuwawezesha kurekodi nyimbo zao na kukuza vipaji vyao, lakini pia kuweza kujiajiri.mbali na ufunguzi wa studio pia ulifanyika uzinduzi wa albam kundi la Imuka singles linalofadhiliwa na Cosad Tanzania chini ya mkurugenzi wake Bw Smart Baitan.Hafla hiyo ilijumuisha wageni maarufu kutoka maeneo mbalimbali ya Kagera na nje ya Mkoa.
Eneo la kupata vinywaji  ndani ya Kijiji cha kukuza vipaji.

jamco blog at 06:55
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

jamco blog
View my complete profile
Powered by Blogger.