JAMCO BLOG BUKOBA

Thursday, 16 January 2014

HATIMAE CAG KUTOA TAARIFA YA UKAGUZI MAALUMU MANISPAA YA BUKOBA KESHO 17-1-2014

Baada ya subira ya muda mrefu hatimae leo majira ya saa tano asubuhi, Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba Bw Shimweta  ametoa barua ya kuwataarifu madiwani kuhudhulia kikao maalumu katika ukumbi wa mkuu wa mkoa kagera  saa 3.30 asubuhi. Ni kauli iliyotolewa na chanzo chetu cha habari hii.,Tulitaka kujua kama mzibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali(CAG) Ludovick Uttouh kama ameshawasili , chanzo chetu kilisema tayari ameshafika Bukoba leo na kufikia jioni ya Leo Naibu waziri Tamisemi Mh Agrey nae atakuwa amewasili kwa ajili ya kuhudhulia kikao hicho maalum.
A
jamco blog at 05:02
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

jamco blog
View my complete profile
Powered by Blogger.