JAMCO BLOG BUKOBA

Tuesday, 19 June 2018

SAFARI YA MWISHO YA MA MARIA ANDREA NDUKEKI,MIAKA 92 YA UHAI WAKE.


Ni safari ya mwisho ya marehemu Ma Maria Ndukeki,Bibi amepigana vita ya duniani kwa miaka 92, Ni jambo kubwa sana na kumshukuru sana mungu kwa kumjaria uhai Bibi Maria Andrea Ndukeki, Ni ,Maneno yaliyokuwa yakisikika karibu kila upande katika eneo la IBADA  ya Mazishi kwa waombolezaji waliohudhuri,Hakika katika maubiri,   yalielezwa yale yote aliyoyafanya na marehemu katika uhai wake huku akimtumaini mungu, Ma Maria alifariki tarehe 13/6/2018 katika hospitali ya Rufaa Kagera na kuzikwa tarehe 16/6/2018 kijijini kwao Katoke Izigo wilaya ya Muleba, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,apumzike kwa amani.
Wajukuu
Ndugu wa marehemu
Mc Jerry akiongoza ratiba
Wajukuu wakikusanya chao kabla ya Ibada kuanza.


 Vikundi mbalimbali vikitoa rambirambi
 Historia ya marehemu ikisomwa
 Mjukuu wa marehemu Ndugu Ernest Nyambo akielezea maisha ya marehemu.
Wajukuu wakikusanya mpunga.

Mwili wa marehemu ukitolewa ndani li Ibada ya mazishi ianze.
Pumzika kwa amani Ma Maria Andrea Ndukeki.
jamco blog at 13:11 1 comment:
Share
‹
›
Home
View web version

About Me

jamco blog
View my complete profile
Powered by Blogger.