JAMCO BLOG BUKOBA

Wednesday, 4 January 2017

OMULANGIRA CORNEL .M.KAGOMBORA AZIKWA NYUMBANI KWAKE BUREMBO KAMACHUMU BUKOBA


Marehemu Omulangira Cornel Kagombora amefariki dunia katika hospital ya mkoa wa kagera na kuzikwa nyumbani kwake katika  kijiji cha Burembo Kamachumu, Marehemu ameacha mjane ,watoto,wajukuu na vitukuu,amefariki akiwa na umri wa miaka 85.(katika picha mkwe wa marehemu Bw Justin Lambert akiwa na mke wake wakiweka shada la maua.)angali matukio ya mazishi.
 MMOJA WA WATOTO WA MAREHEMU
 Ibada ikiendelea
 Mc Rutakwa akiongoza ratiba akiwa na Bw Kashasha .
 Mjane wa marehemu/



Pumzika kwa amani omurangila cornel kagombora.
jamco blog at 13:08 No comments:
Share
‹
›
Home
View web version

About Me

jamco blog
View my complete profile
Powered by Blogger.