JAMCO BLOG BUKOBA

Wednesday, 9 November 2016

WAFANYAKAZI MARAFIKI NMB WAAGA WENZAO WALIOAMISHWA VITUO VYA KAZI BUKOBA.

Wafanyakazi wa NMB BANK Bukoba wameandaa hafla yupi ya kuagana wenzao ambao wameamishwa vituo vya kazi, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Bukoba coop hotel( Yasila).Wafanyakazi walioamishwa vituo vya kazi ni Bw  Juma Seni anaamia  wilaya ya  Misungwi Mwanza na Bw Godfrey Mwandambo anaeamia Dar.(katika picha waliosimama wa pili kulia  ni muagwa Juma Seni na wa tatu kulia ni muagwa Bw Godfrey Mwandamo.)
 zawadi time.
 Pale unapoagwa na wenzako na machungu kukuzidia na chozi kudondoka.
 Hapana chezeea Penina dah..



 Mc katika ubora wake.

jamco blog at 19:59 1 comment:
Share
‹
›
Home
View web version

About Me

jamco blog
View my complete profile
Powered by Blogger.